2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA ZA KISASA ZINAPANGISHWA KIMARA BUCHA DK8 KWA MIGUU KUTOKA LAMI.
MAFUNDI WAPO KAZINI WANAMALIZIA HATUA ZA MWISHO KUNG'ARISHA NYUMBA.
-----------
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#ULINZI,,MTU WA GARDEN NA USAFI WA MAZINGIRA NI BURE KABISA NDUGU MTEJA
#ZIPO APARTMENT 4 MPYA NDUGU MTEJA NA ZIMEBAKI CHACHE MBIO ZAKO TUU HAPA
#KUNA WALINZI MASAA 24 NA BURE KABISA NDUGU MTEJA
#GARDEN NZURI
SERVICE CHARGE 15,000/=
BEI NI 600,000/= X 6
MALIPO YA DALALI YA MWEZI MMOJA TU
___________
CONTACT
#0693_673010
#0676_218580 (WhatsApp)
#dalali_big_kimara🇹🇿
#KIUMBE_REAL_ESTATE_AGENT
EPUKA MATAPELI FANYA KAZI NA MADALALI WENYE OFFICE NA WALIYO SAJILIWA 🙏



















