2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT MPYAA MPYAA INAPANGISHWA
LOCATION KIMARA TEMBONI
KODI 250,000X6
UMBALI KM 1.5
USAFIRI BAJAJI 700
BODA 1000
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE NA JIKO LAKE NA TOILET PUBLIC
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI NA YANA FLOW NDANI
NDUGU MTEJA FENSI ITAJENGWA MAFUNDI WAPO KAZINI ITAKUWA TIYALI KUINGIA TAREHE 01-08-2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA INAWEZA ISIFIKE
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA BILA KUSAHAU MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA SIMU 0659336751 WSP 07860856