2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
APARTMENT KUBWA SANA YA KIFAMILIA INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA STOP OVER AU UNAWEZA PITIA KIMARA SUKA
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA
KIMOJA MASTE
SEBULE KUBWA NA DINING
CHOO CHA WAGENI CHA NDANI
JIKO LENYE MAKABATI
UMEME LUKU YAKO
MAJI MITA YAKO
UMBALI KM 1 AU BODA 1000
IP0 NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
FULL PEVING BLOCK
KODI 350,000X4/5/6
BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHALI YA MWEZI MMOJA
NYUMBA HII IPO WAZI NI YA KUHAMIA
ILA MPANGAJI AKIWEPO TUTAONA NDANI ASIPO KUWEPO BASI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NA UKIPENDA NYUMBA DALALI UTAMPA PESA YA MWEZI MMOJA
PIGA CM USTUME SMS UTACHELEWA
SIMU
0679 997610
Msigwa