2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA DK 4 KUTOKA MOROGORO ROAD.
---------
ZIPO APARTMENTS 2 KWENYE COMPAUND MOJA NA MOJA NDIO INAPANGISHWA.
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA MASTER
PUBLIC TOILET
SEBULE
JIKO
TAILS
GYPSUM
REZEV SIMTANK
MADIRISHA VIOO SHATA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI DAWASA YANAFLOW CHOONI JIKONI MITA YAKO
NDANI YA FENSI PARKING SPACE IPO
----
KODI NI LAKI 270,000 /=
KWA MWEZI.
MALIPO MIEZI SITA NA MALIPO YA DALALI MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA.
KUONA NYUMBA NI ELFU 15,000 /=
-------
0753 989554
0773700963
=====