2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
CLASSIC APARTMENT FOR RENT
LOCATION KIMARA STOP OVER KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI WA BODA BODA BUKU UNAWEZA KUTEMBEA DK 13
BEI TSH NI 300,000/=X6
SIFA ZAKE
VYUMBA 2 KIMOJA NI MASTER
SEBULE KUBWA YA KUTOSHA
INA JIKO KUBWA LA KUTOSHA
INA CHOO KIZURI CHA FAMILIA
UMEME LUKU INAJITEGEMEA
MAJI SAFI YA DAWASA 24 HRS
FENSI NA PARKING NI KUBWA
INAYOPANGISHWA NI YA JUU
KUONYESHWA NYUMBA TSH 15,000/=
ULIPIAPO NYUMBA DALALI MWEZI 1
What saapp Number 0689-547258