2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA
Zipo 3 Kwenye Fence
Location: KIMARA MWISHO
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
KODI 380,000 × 6
💥 ITAKUA WAZI KUANZIA 25/03/2025
KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
✅️SEBULE KUBWA
✅️VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA KATI YA HIVYO KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM
✅️JIKO KUBWA LA KISASA
✅️PUBLIC TOILET
✅️LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
✅️INAYOPANGISHWA NI YA JUU GOROFANI
KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA NA UKISHUKA TUU KWENYE USAFIRI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA
SERVICE CHARGE 15,000
MALIPO YA DALALI PETER KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp