2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
PRICE: 400,000 × 6
Location: KIMARA KOROGWE KILUNGULE
NJIA YA MAJI CHUMVI/ EXTERNAL
Nyumba Ipo Upande Wa Kushoto Kutokea Ubungo Barabara ya Zege ya Kwenda Maji Chumvi - External. Usafiri Bajaj 500
Pia Zipo Daladala Za Moja Kwa Moja Kariakoo 🤝
✍️Sebule Kubwa
✍️Vyumba VIWILI Vikubwa
✍️Chumba Kimoja Master
✍️Public Toilet ya Wageni
✍️Jiko Zuri
✍️Store Kubwa
✍️Reserve TANK
✍️Good Environment 👍
Apartment Hazipo Ndani Ya Fence Ila Parking ipo Na ULINZI Usalama Kama LUGALO
Umeme LUKU Inajitegemea Na Maji DAWASA Yanaflow Ndani 24HRS
Service Charge 20,000
1 Month Agent Commission
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp