2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







( 300,000 x 6 ) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 2 ) TU KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENCE
UMBALI WA KILOMETA ( 2 ) TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFIRI WA UHAKIKA BAJAJ BUKU
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE YA WASTANI NA JIKO LA KISASA LENYE MAKABATI PUBLIC TOILET YA NDANI
TILES GPYSUM SLAIDING
WINDOW
UMEME MITA YAKO
MAJI DAWASA YANAFLOW NDANI
NDANI YA FENCE PARKING SPEACE KUBWA
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/=
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
What saapp number 0689-547258