2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(250,000X6)KIMARA SUKA DK 4 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
➖➖➖➖➖➖
APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA
Vyumba 2 VIWILI ,vyakulala kimojawapo master bedroom sebule jiko na public toilet
Kodi 250,000 kwa mwezi ×6
AU
270,000 Kwa mwezi × 4
Umbali dakika 4 Tu Kwa mguu toka kituoni
Inajitegemea umeme na maji yanaflow chooni na jikon
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15 itadumu mpaka upate bila kuchajiwa tena