2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Classic For Rent ✨️
Zipo 2 Kwenye Fence
Location: KIMARA BUCHA
Distance: Dakika 3 - 4 Kwa Kutembea Tu 🚶
KODI 350,000 × 6
📍Sebule Kubwa Sana
📍Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
📍Jiko Kubwa Zuri/Open kitchen
📍Choo Chake Ni Cha Ndani, Kina Milango MIWILI
Wa Master Na Public Toilet 🚻
📍Inajitegemea UMEME Na MAJI
📍Maji Yanaflow Ndani 24HRS
📍Reserve TANK
📍Fenced
📍Parking Space Available 🚗
📍Tires,Gypsum Na Slide Windows
📍Good Environment 👍
For More Informations
0688 067 289 📞
0714 418 005 WhatsApp