2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
(300,000X6)KIMARA MWISHO 2KM KUTOKA MOROGORO ROAD, BAJAJI 700
APARTMENT YA KISASA KABISA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO VYUMBA VIWILI VYA KULALA KODI LAKI TATU (300,000)KWA MWEZI NDANI YA FENSI
✔️ VYUMBA VIWILI
✔️KIMOJA MASTER
✔️ SEBULE
✔️JIKO
✔️ PUBLIC TOILET NDANI
✔️ FENCED
✔️ZIPO NYUMBA MBILI TUU KWENYE FENCE
ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KM UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UKO KWENYE NYUMBA
BEI NI 300K X 6
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15
UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖
CONTACT US:-
0716223412
0683597453