2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI SANA INA PANGISHWA 
LOCATION: KIMARA KOROGWE AU UNAWEZA PITIA KIMARA MWISHO 
KODI 400,000X6 
INA VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA JIKO KUBWA 
MAJI MITA YAKO
UMEME LUKU YAKO 
KWENYE COMPAUND MOJA ZIPO APARTMENT NNE NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU 
UMBALI KM 1.2 BODA 1000
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICE CHARGE NI TZS.15000 
NA UKIPENDA NYUMBA NI KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPIAPO NYUMBA 
IPO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI 
NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA SANA FULL PEVING BLOCK
0715949085
0782838336




















