2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(300,000 × 5,6) 𝗞𝗜𝗠𝗔𝗥𝗔 𝗧𝗘𝗠𝗕𝗢𝗡𝗜
Ni apartment ya vyumba viwili (2) vya kulala, chumba kimoja ni 'MASTER BEDROOM', Sebule, Jiko na choo cha public ndani
Ipo ndani ya fensi parking space ipo, umeme na maji inajitegemea.
𝗠𝗔𝗛𝗔𝗟𝗜 𝗜𝗟𝗜𝗣𝗢: KIMARA TEMBONI
Umbali ni dk 20 kutembea kwa miguu kutoka morogoro road. Barabara ni rafiki kwa gari aina zote
Bodaboda 1000
𝗕𝗘𝗜 𝗬𝗔𝗞𝗘: Laki tatu tu (3000,000/- Tshs) × Miezi 6 + Mwezi mmoja malipo ya DALALI
𝗦𝗲𝗿𝘃𝗶𝗰𝗲 𝗰𝗵𝗮𝗿𝗴𝗲 𝗻𝗶 𝘀𝗵𝗶𝗹𝗶𝗻𝗴𝗶 15,000
𝗠𝗮𝗹𝗶𝗽𝗼 𝘆𝗮 𝗱𝗮𝗹𝗮𝗹𝗶 𝗻𝗶 𝗺𝘄𝗲𝘇𝗶 𝗺𝗺𝗼𝗷𝗮
𝗖𝗼𝗻𝘁𝗮𝗰𝘁:
0654101710
0787205300