2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

 media -1
media -1
media -2
media -3
media -4
media -5
media -6
Sh. 387,747

(600,000X6) KIMARA TEMBONI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 600,000/= X 6

ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 30/03/2025 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO

💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO

#SEBULE KUBWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#HEATER ZA MAJI MOTO NA BARIDI
#AIR-CONDITION
#CCTV CAMERA
#ELECTRIC FENCE
#GARDEN
#PARKING
‼️ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA

BEI NI 600,000/= X 6

🇹🇿 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 6 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA

💥BILA KUSAHAU PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 5 TUU

KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
KUPELEKWA SITE ELF 15

UNAPOLIPIA NYUMBA UTAMPA DALALI KODI YA MWEZI
➖➖➖➖➖➖➖➖➖
DALALI KIMARA SUKA LEONARD
0719-092747
0683-387747
0765-494343

lenardjackson
dalali_kimara_suka_leonard
lenardjackson

Similar items by location

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

KODI NI 200,000 KWA MWEZI MALIPO NI MIEZI 4 TU==============.NI APARTMENT NZURI SANA INAPANGISHWA ==...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KAMA ULIKIMBIA BEI HAPA RUDI NA MBIO NYINGI SANA NIMESHUSHA NIMEUWA BEI 300K X6 INAPANGISHWA KIMARA ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

MPYAAAA MPYAA KABISA HAIJAWAHI KUKALIWA CHANGAMKIA FURSA LOCATION: KIMARA STOP OVER DAKIKA 8 KWA MG...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MAPEMA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 10/04/2025 MALIPO RUKSA#SEB...

House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT NZURI SANA IPO NDANI YA FENCE INAPANGISHWAKIMARA TEMBONI💥 KODI YAKE 300K X6//ILIPWE LAKI...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 400,000

APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA LOCATION:KWA MSUGURI UMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 12 KWA MIGUULOCATIO...

1 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

Apartment house for Rent za Kisasa nzuriLocation Kimara Mwisho or Kimara Stopover km 1.5 from road ...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

MASTAR KUBWA SANA ZA KIBABE ZINAPANGISHWA KIMARA TEMBONI NI DK 4KUTOKA MOROGORO ROAD ===KODI 150,...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWALOCATION:KIMARA SUKAUMBALI KUTOKA STEND DAKIKA 5 KWA MIGUUSIFA ZAKE:...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 4🏠APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO INAVY...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

INAPANGISHWA#300,000/= MALIPO MIEZI 6--------------------------------📌Mahali:KIMARA SUKA (Dsm) 🇹�...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

(450,000X6)KIMARA KOROGWE➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖➖NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA UNAKATA UTEPE MWENYEWE #SEBULE KUB...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

(300,000X6)KIMARA SUKA DK 5 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD➖➖➖➖➖➖➖➖➖APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWAL...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 150,000

KODI 150000X6 ======APATIMENTI ZIPO KIMARA TEMBONI ======UMBALI WA KUTOKA BARABARANI KILOMITA 3HADI ...

2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 300,000

KAMA ULIKIMBIA BEI HAPA RUDI NA MBIO NYINGI SANA NIMESHUSHA NIMEUWA BEI 300K X6 INAPANGISHWA KIMARA ...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 200,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 200,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE MWENDO KASI KM DAKIKA 1...

2 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 450,000

NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA UNAKATA UTEPE MWENYEWE #SEBULE KUBWA #VYUMBA 2 VYA KULALA #CHUMBA KIMO...

House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 250,000

NEW NEW APARTMENT MPYA KABISA WAHI MAPEMA ZINAKUWA TAYALI KUHAMIA TAREHE 10/04/2025 MALIPO RUKSA KOD...

1 Bedrooms House for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 350,000

APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISWA KODI 350,000X6 LOCATION KIMARA KOROGWE KILUNGULE KM 1.5 USAFIR...

3 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam

Sh. 500,000

🇹🇿# APARTMENT #INAPANGISHWA📍Kimara Baruti ⏰Umbali wa kutoka stand ya mwendo kasi dakika 5_6 kwa m...