2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA
💥 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING
‼️ APARTMENT HII HAINA FENSI ILA USALAMA UPO WA KUTOSHA NA GARI UNAPAKI KWENYE NYUMBA
BEI NI 300K X 6
ILIPWE LAKI 2 NA NUSU KWA MWEZI MALIPO YA MIEZI 6 TUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
🏘️ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 500
ITAKUWA WAZI TAREHE 15/04 MWENZI HUU KUONA KULIPIA RUKSA ENDAPO MPANGAJI ATAKUEPO
SINA CHENI NAMALIZA BIASHALA HAPA
0713661530_0783661530