2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







(350,000X6)KIMARA TEMBONI DK 8 KWA MIGUU KUTOKA MOROGORO ROAD
——
APARTMENT NZURI SANA. ZINAPANGISHWA KILA MOJA INAJITEGEMEA UMEME WAKE NA MAJI YANAFLOO NDANI
SIFA ZA NYUMBA
*INAVYUMBA VIWILI VYAKULALA KIMOJAWAPO MASTER
*SEBULE
*JIKO
*CHOO CHA PUBLIC
#PARKING SPACE KUBWA SANA
🛣LOCATION:KIMARA TEMBONI
UMBALI KUTOKA MOROGORO ROAD DK 8
BODABODA 1000 MPKA GETINI
💰BEI:LAKI 350K X MIEZI 6
SERVICE CHARGE TSH 15,000
TUPIGIE NAMBA
0716223412
0683597453