2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT KALI INAPANGISHWA NDANI YA GETI ZIKO MBILI
LOCATION KIMARA MWISHO PIA UNAWEZA KUPITIA STOP OVER
KODI 300,000X4
UMBALI TOKA MOROGORO
ROAD KM 2
USAFIRI BAJAJI 1000
BODA 1000
NI VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER SEBULE KUBWA NA JIKO LAKE NZUR TOILET PUBLIC NDANI
INAJITEGEMEA UMEME NA MAJI PIA YANA FLOW NDANI
NYUMBA IPO NDANI YA FENSI PARKING SAFI ITAKUWA TAYALI KUINGIA TAREHE 25-9-2025 KUONA NA KULIPIA LUKSA
KUPELEKWA KWENDA KUONA NYUMBA SERVICES CHUG 15,000
NAUKIPENDA NYUMBA MALIPO YA DALALI KODI YA MWEZI MMOJA PINDI ULIPIAPO NYUMBA
SIMU
+255 684 88 14 29
+255 658 58 64 49
MSHATI