2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


#APARTMENT # MPYAA YA KISASA INAPANGISHWA
#VYUMBA 2 VYA KULALA VIKUBWA SANA
#CHUMBA KIMOJA MASTER KIKUBWA SANA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#CHOO CHA PUBLIC NDANI
#TAILZY
#GIPSAM
#ALLUMINIUM SLIDE WINDOW
#LUKU NA MITER YA MAJI VINAJITEGEMEA
#MAJI NI DAWASA NDANI
#NDANI YA FENSI PARKING KUBWA SANA
#MAZINGIRA MAZURI YA NJE
#PARVING
#AIRCONDITION
#INTERNET
#LOCATION KIMARA KOROGWE_KILUNGURE KLM 2 KUTOKA MWENDOKASI
#USAFIRI BAJAJ 700 UKISHUKA UNATEMBEA DKK 2 TUU
#BEI NI 600,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 6
#SERVICER_CHARGER_15000
Simu
0747997630
0679997610
Msigwa