2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA TEMBONI #200k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule na jiko
Kodi 200,000 kwa mwezi × 6
Ndani ya fence zipo 2 tu kila moja inajitegemea umeme na maji
Umbali km 1.8 kutoka lami bajaji zinafika
Parking ya uhakika. Inakuwa wazi tar. 28/07