2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment Inapangishwa:
(Zipo Kwenye fensi)
Location :: KIMARA TEMBONI Umbali wa Kilometa 1 tu
Bei yake :: 500,000Tsh kwa mwezi (Miezi 6)
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta)
🌡️Sebule
🌡️Jiko lenye makabati
🌡️Choo cha wageni
🌡️Fans
🌡️Paving Blocks
🌡️Fence
🌡️Full Air Condition (A/C)
🌡️Remote Gate
🌡️Electric Fence
Dalali mzoefu mwezi mmoja ulipiapo nyumba sevchage 15,000 kuona nyumba
Mawasiliano 0656623510
Wsp 0752436347