2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







0679 997610
APARTMENT NZURI NA IPO JIRANI NA BARABARA INAPANGISHWA BEI NI 250,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA
#HAKUNA MASTER BEDROOM
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
๐ฅUKILIPIA HII NYUMBA MADIRISHA YANABADILISHWA YANAWEKWA YA KIOO CHA KISASA
BEI NI 250,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA SUKA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 8 TUU KWA MIGUU
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679 997610
0747997630
Msigwa