2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







HIZI APARTMENT ZINAPANGISHWA KATI YA IZO MOJA IPO WAZI MPYA
#SEBULE KUBWA 
#VYUMBA 2 VYA KULALA 
#CHUMBA KIMOJA MASTER 
#JIKO ZURI LINAWEKWA MAKABATI 
#CHOO CHA WAGENI
#TAILZY GIPSAM ALUMINUM SLAIDING WINDOW NYUMBA ZIPO NDANI YA FENSI PARKING KUBWA 
#FULL ICE
#LOCATION KIMARA BARUTI DK 15 KWA MIGUU KUTOKA MWENDOKASI 
#BEI NI 350,000 KWA MWEZI MALIPO MIEZI 10
0715949085
0782838336




















