2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
โโ
(400,000 ร 6) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= ร 6
MAFUNDI WAPO SITE MASAA 24 KUENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA IRUDI KUA MPYA KABISA
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 400,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1.5 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Itakuwa wazi TAREHE 27 mwenzi huu karibuni sana wateja
PIGA SIMU
O716223412
0683597453