2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
Apartment Classic For Rent
Location: KIMARA KOROGWE
Distance: Dakika 5-6 Kutoka Morogoro Road
Kwa Kutembea Tu 🚶🚶
KODI 400,000 × 6
Inafaulishwa BOSS 🏃♀️🏃♂️
Itakuwa Wazi 03/02/2025
Kuona Nyumba Na Kulipia RUKSA BOSS 💰✍️
📌Sebule Kubwa Sana
📌Vyumba VIWILI Vikubwa Vya Kulala
📌Chumba Kimoja Master
📌Jiko Kubwa la Kisasa
📌Public Toilet Nzuri 🚻
✔️Inajitegemea UMEME Na MAJI
✔️Maji Yanaflow Jikoni Na Vyooni 24HRS
✔️Reserve TANKS
✔️Tires, Gypsum Na Slide Windows
✔️Fenced
✔️Parking Space Available 🚘
✔️Good Environment 👍
Service Charge 15,000
#Malipo Ya Dalali Peter Kodi Ya Mwezi Mmoja
For More Informations
0688 067 289
0714 418 005 WhatsApp