2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







[14/03, 09:54] Frank, D: APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/=X 6
ITAKUA WAZI KUANZIA TAREHE 15/03/2025 AU KESHO JIONI NA KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟🌟APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#FENI NZURI YA JUU
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= X 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
[14/03, 09:54] Frank, D: APARTMENT HII YA LAKI 350,000/= ITAKUA WAZI 15/03/2025 AU MAPEMA ZAIDI YA HAPO
0713320608
0686334182