2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
KODI NI 150,000 x 4) KIMARA MWISHO APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA ZIPO ( 3 ) KWENYE COMPAUND MOJA NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
UMBALI WA KILOMETA (2,5 )TOKA KIMARA MWISHO MWENDOKASS
USAFILI WA UHAKIKA BAJAJ 1000/=
UKISHUKA UNATEMBEA DK 6
VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJA WAPO MASTER SEBULE NA KIBALAZA CHA KUPIKIA
TILES GPYSUM SLAIDNG WINDOW
UMEME SUBMETER
MAJI DAWASA
NDANI YA FENSI ISIYOLAZA GARI
KUPELEKWA KUONA NYUMBA SERVICES GHUG 15,000/
NA BILA KUSAHAU KODI YA MWEZI MMOJA KWA DALALI PINDI ULIPAPO NYUMBA
SIMU 0659336751 WSP 0786085637