2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI SANA 
BADO MPYAA๐๐ปโโ๏ธ..
KATI YA HIZI TATU MOJA INAPANGISHWA 
KIMARA TEMBONI 
NYUMBA HII ITAKUWA WAZI TAREHE 01/ 07/ 2025, KUJA KUONA NA KULIPIA NI LUKSA KABISA. 
๐ฅKODI YAKE 300K X6 
๐๏ธSIFA ZA NYUMBA>>๐๐
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA, VYOTE NI MASTER BEDROOMS 
#SEBULE SAFI 
#JIKO SAFI 
#UMEME METER YAKE 
#MAJI DAWASA METER YAKE 
#TILES 
#GIPSUM 
#SLIDE WINDOW 
#NYUMBA IPO NDANI FENCE 
NYUMBA IPO KIMARA TEMBONI UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAELEKEA MBEZI 
UMBALI WAKE KUTOKEA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM2..
BAJAJI TSH 700/=
PIKI PIKI TSH1,000/=
SERVICE CHARGE 15K 
NOTE::: MALIPO YA DALALI NI PESA YA MWEZI MMOJA 
๐๏ธKARIBUNI SAANA ๐น๐ฟ
CONTACT:: 0672 673363 / 0763 219307




















