2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT NZURI YA KISASA INAPANGISHWA 380,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA ZURI (OPEN KITCHEN)
#PUBLIC TOILET
#AIR-CONDITION
#PARKING
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
โผ๏ธ INAYOPANGISHWA NI YA NI YA JUU GOROFANI
BEI NI 380,000/= X 6
NDUGU MTEJA UKILIPIA NYUMBA HII UTALIPIA NA PESA YA TAHADHARI (CAUTION MONEY) SHILINGI LAKI 2 (200,000/=)
๐๏ธ APARTMENT HII IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2.5 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO
๐ NDUGU MTEJA KUONESHWA NYUMBA GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
0679447338
0753454167