2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


APARTMENT INAPANGISHWA KIMARA SUKA #300k
Vyumba 2 vya kulala kimojawapo master bedroom sebule kubwa dinning jiko kubwa na public toilet
Kodi 300,000 Kwa mwezi × 6
Umbali km. 1.3 panatembeleka boda boda 1000
Kupelekwa kuona nyumba elfu 15
Kila apartment inajitegemea umeme na maji parking na Usalama wa uhakika.
0716 776247