2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI INAPANGISHWA KIMARA MWISHO & KIMARA STOP OVER ZOTE NJIA UMBALI WA KM 2 BAJAJI 1000 BODA 1000
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER BEDROOM
SEBULE KUBWA
JIKO KUBWA LA KISASA LINA MAKABATI
PUBLIC TOILET KALI
MAJI YANAFLOW NDANI 24HRS
LUKU YAKO
TIRES, SLIDE WINDOW Na SLIDE WINDOWS
MAZINGIRA MAZURI SANA
NDANI YA FENCE
PARKING SPACE KUBWA SANA ๐
ITAKUWA WAZI 20/03/2025
KUONA NAKULIPIA INAWEZEKANA WAHI ๐
KODI 300,000 ร 6
CONTACT US
0688 067 289 ๐
0714 418 005 WhatsApp