2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT YA KISASA INAPANGISHWA IPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO UKIWA UNATOKEA MJINI MAENEO YA BONYOKWA KWA MATONYA UMBALI WA KM 1 KUTOKA MOROGORO ROAD.
SIFA ZAKE
Vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms
Sebule kubwa
Jiko la kisasa kubwa
Public toilet za nje zipo.
Tails gypsum
Rezev Simtank
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni mita inajitegemea
Ulinzi na Usafi gharama za mwenye nyumba.
Full paving block
Parking space kubwa.
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000
simu 0659336751 wsp 0786085637