2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


๐จ๐ฅ#APARTMENT ZIPO 3 TU KWENYE FANCE MOJA INAPANGISHWA
โโโโโ
๐Kimara Stop over
๐Umbali kutoka standy ya mwendo kasi km 1.8 usafili boda boda 1000 tu mpka getini
#SIFAZAKE
๐ฒVyumba Viwili, kimoja Master
๐ฒSebule
๐ฒJiko
๐ฒPublic Toilet ya nje
๐ฒUmeme Luku Yake
๐ฒMaji meter yake na yanaflow ndani
๐ฒFensi & Parking Kubwa
๐ Ya juu inapangishwa ipo wazi
๐ทKodi Tsh 250, 000/= miezi 6
๐ทMalipo ya Dalali Tsh 250, 000/=
๐ทService Charge. Tsh 15, 000/=
______________
#Piga_simu ๐
,
#O627977383