2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam
APARTMENT YA KISASA KABISA INAPANGISHWA KIMARA MWISHO VYUMBA VIWILI VYA KULALA KODI LAKI TATU (300,000)KWA MWEZI NDANI YA FENSI
INA VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER, SEBULE KUBWA, JIKO KUBWA LA KISASA NA CHOO CHA FAMILIA KWENYE FENSI MOJA ZIPO APARTMENT 2 TUU NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA NA KILA APARTMENT INAJITEGEMEA KWA KILA KITU
ZIPO KIMARA MWISHO UPANDE WA KUSHOTO KM UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI SH 700 NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UKO KWENYE NYUMBA
BEI NI 300,000/=×6
NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Contact
#0785889413
#0785889413𝑊𝒉𝑎𝑡𝑠_𝐴𝑝𝑝📲📲