2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


(400,000 × 6) KIMARA TEMBONI
APARTMENT NZURI KUBWA YA FAMILIA INAPANGISHWA BEI NI 400,000/= × 6
MAFUNDI WAPO SITE MASAA 24 KUENDELEA NA UKARABATI WA NYUMBA IRUDI KUA MPYA KABISA
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA SANA
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 3 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
#PARKING KUBWA
BEI NI 400,000/= × 6
💫💫 APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300