2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 1,000,000/= X 6
๐ APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA
#MAKABATI YA NGUO VYUMBA VYOTE
#AIR-CONDITION
#NYUMBA IMEZUNGUSHIWA FENSI YA WAYA ZA UMEME (FULL SECURITY)
#FREE WI-FI
#GARDEN
#ULINZI BURE NA MTU WA USAFI WA MAZINGIRA NI BURE
BEI NI 1,0000,000/= X 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA STOP OVER UPANDE WA KUSHOTO KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI DK 10 TUU KWA MIGUU NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 20 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
PIGA SIMU NDUGU MTEJA: 0672 673363