2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







APARTMENT FOR RENT ##450K### IPO KIMARA MWISHO UMBALI WA KM 1.5 KUTOKA MOROGORO ROAD KIMARA MWENDOKAS TERMINAL.
APARTMENT HII BADO INA MPANGAJI NDANI RUKSA KUONA NA KULIPIA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO ITAKUA WAZI TAREHE 20/3/2025.
.................
Ina vyumba 2 vya kulala vyote master bedrooms
Sebule kubwa
Jiko la kisasa
Rezev Simtank
Tails ###gypsum
Madirisha Aluminium
Umeme Luku inajitegemea
Maji Dawasa yanaflow chooni jikoni
Full paving block ,Good Environment ,ulinzi na usafi & parking space kubwa.
...........
Kodi ni laki 450,000 /=
Kwa mwezi.
Malipo miezi sita na Malipo ya dalali mwezi mmoja pindi ulipiapo nyumba.
Kuona nyumba elfu 15,000 /=
Kwa maelezo zaidi piga simu
O627977383