2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam


NI APARTMENT NZURI INAPANGISHWA
LOCATION: KIMARA KOROGWE KM I.2 KUTOKA KITUO CHA MWENDOKAS
USAFIRI BAJAJI 500 UKISHUKA DK 2 UPO NYUMBAN
KODI NI 300,000 KW MWEZI MALIPO NI MIEZI MITATU (3)
SIFA ZAKE
=========
VYUMBA VIWILI
SEBULE
JIKO
PUBLIC TOILET
aina master
TILLES
GYPSUM
ALUMINIUM
LUKU YAKO
MAJI DAWASA
YANAFLOW NDANI
NDAN YA FENS
PARKING SPACE KUBWA
PERVING BLOCK SAFI
MAZINGIRA MAZURI
NA TULIVU
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0679997610
0747997630
Msigwa