2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







Apartment ya vyumba viwilli (350,000) #KIMARA_TEMBONI
APARTMENT NZURI MPYA YA KISASA INAPANGISHWA BEI NI 350,000/= ร 6
๐๐APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER
#SEBULE KUBWA
#JIKO KUBWA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#STORE
#FENI NZURI YA JUU
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PAVING
#PARKING KUBWA
BEI NI 350,000/= ร 6
๐ซ๐ซ APARTMENT HII IPO KIMARA TEMBONI
KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1
USAFIRI NI BAJAJI SH 700 AU BODABODA SH ELFU 1 NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE NYUMBA
Service charge ni shilingi 15,000
Malipo ya Dalali ni mwezi mmoja
Contact:
0654101710
0787205300