2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kimara, Dar Es Salaam







NI APARTMENT NZURI MPYA KABISA ZINAPANGISHWA
IPO KIMARA MWISHO KM 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
USAFIRI BAJAJI 700 TU
BRBR SAFI
KODI NI 500,000 KWA MWEZI MALIPO YANAANZIA MIEZI 3, 4, 5 NAKUENDELEA
SIFA ZAKE
==========
VYUMBA VIWILI VYA KULALA KIMOJA MASTER KIKUBWA #SEBULE KUBWA #JIKO KUBWA #PUBLIC LENYE MAKABATI NA PUBLIC TOILET NZURI KWA FAMILIA YAKO
APARTMENT ZIPO NDANI YA FENSI PARKING SPACE KUBWA PERVING BLOCK SAFI MAZINGIRA MAZUR SANA INAJITEGEMEA UMEME LUKU YAKE NA MAJI YAKE DAWASA YANAFLOW NDANI
SERVICHAJ ELFU 15
CONTACT
0742260844
0657384670