2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kinondoni, Dar Es Salaam
Apartment Inapangishwa location kinondoni komakoma
Ina sifa zifuatazo
Vyumba viwili vyakulala kimoja master sebule kubwa jiko lenye makabati na public toilets
Full A/c chumbani kwenye master
Kodi 700k miezi 6
Iko nafence yakulaza gari moja tu.
Service charge 20k
For more information call
0745834253/0615382085