2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Kinyerezi, Dar Es Salaam


Ni Apartment 2 Kwenye Compound
.Nyumba Ina Vyumba 2 Vya Kulala Master
Sebule (Jiko Na Public Toilet Vya Nje)
Inapangishwa Bei 300k Maeneo Ya Kinyerezi Kwa Ditopile.Umeme Na Maji Unajitegemea.