2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Madale, Dar Es Salaam
Apartment mpya kali sana zinapangishwa:
Kuna ya ghorofani na ya chini
Zote zina room 2 moja self
Dirning sitting jiko public toilet na maji dawasco
Full makabati jiko na vyumbani
Kodi- laki 6 kwa mwez maongezi kidogo kodi kuanzia miez 6
Location- madale flamingo
Umbali-km 1. kutoka main road
0745559598