2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


Apartment Inapangishwa:
( zipo 4kwenye fensi) 
Location :: makongo juu km1  kutoka lami
Bei yake :: 700,000Tshkwa mwezi (Miezi 6
Muundo wa nyumba;
🌡️Vyumba viwili (Kimoja Masta) 
🌡️Sebule kubwa 
🌡️Jiko lenye makabati 
🌡️Choo cha wageni 
🌡️Fans 
🌡️Paving Blocks 
🌡️Fence
Call/Whatsapp;
0780600341 less less less less less




















