2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Makongo, Dar Es Salaam


:
𝘼𝙥𝙖𝙧𝙩𝙢𝙚𝙣𝙩 𝙉𝙯𝙪𝙧𝙞 𝙮𝙖 𝙆𝙪𝙥𝙖𝙣𝙜𝙖
#𝙇𝙤𝙘𝙖𝙩𝙞𝙤𝙣: MAKONGO NJIA YA GOBA
#𝘿𝙞𝙨𝙩𝙖𝙣𝙘𝙚: Umbali wa Kutembea Kwa Mguu Dakika 4 kutoka Main Road Barabara ni Nzuri Mpaka Getini
#𝙎𝙞𝙛𝙖_𝙕𝙖𝙠𝙚
============
• Sebule kubwa
• Vyumba VIWILI vya Kulala na Kimoja Wapo Master
• Jiko Kubwa lenye Makabati
• Public Toilet nzuri ndani
• Heater ya MAJI
• Reserve Tank (DAWASA)
• AC
Apartment zipo ndani ya Fensi Parking ipo na kila Apartment inajitegemea LUKU na Mita ya MAJI Dawasa
#𝙆𝙤𝙙𝙞_𝙠𝙬𝙖_𝙈𝙬𝙚𝙯𝙞 𝙣𝙞 Tsh. 500,000 Malipo Miezi 6
O677370515
#𝘼𝙣𝙜𝙖𝙡𝙞𝙯𝙤 zote unazohitaji Zilizopo na Malipo ya Dalali ni Mwezi Mmoja Pindi Ulipiapo Nyumba.