2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mawasiliano, Morogoro







APARTMENT ZINAPANGISHWA;#KIMARA MWISHO
#VYUMBA VIWILI VYA KULALA_KIMOJA_MASTER_SEBULE_NA_JIKO_CHOO_CHA_FAMILIA
💧Location ::KIMARA MWISHO UMBALI WA KILOMETA 2 KUTOKA MOROGORO ROAD
💧Bei :: 300,000 Kwa Mwezi
KODI MIEZI 5 AU 6
Muundo wa Nyumba;
📍Vyumba viwili vya kulala
📍Kimoja Master
📍Sebule
📍Jiko lina makabati
📍Choo cha familia
📍Umeme Luku yako
📍Fenced kabisa
📍Maji mita yako pia
Nyumba itakuwa wazi tarehe 17/3/2025 Kuona na Kulipia Ruksa
MAWASILIANO 0656623510
WSP 0752436347