2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam







NEW APARTMENT CLASSIC FOR RENT
KODI 400,000 Γ 6
Location: MBEZI KWA MSUGURI
Ipo Upande Wa Kushoto Kama Unaenda Mbezi
SEBULE KUBWA SANA
#VYUMBA VIWILI VIKUBWA VYA KULALA
#CHUMBA KIMOJA MASTER
#JIKO KUBWA LA KISASA
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#ZIPO APARTMENT 2 TUU KWENYE FENSI MOJA NA HII MOJA NDIO INAPANGISHWA
π«π« BARABARA YA MALAMBA MAWILI NJIA ILIYOWEKWA LAMI NA KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 2 USAFIRI NI BAJAJI AU BODABODA NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNATEMBEA DK 2 UPO KWENYE NYUMBA NA NJIA NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
PIA UNAWEZA KUPITIA BARABARA YA MBEZI KUELEKEA MALAMBA MAWILI NAPO NI LAMI TUPU HADI KWENYE NYUMBA
KUONESHWA NYUMBA HII GARAMA YAKE NI SHILINGI ELFU 15 NA UKIIPENDA NYUMBA HII UTALIPIA PESA YA UDALALI KODI YA MWEZI MMOJA
CONTACT US
0688 067 289 π
0714 418 005 WhatsApp