2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


Apartment zinapangishwa mbezi malamba mawili 
Vyumba viwili kimoja master 
 bedroom 
Kodi yake laki 450,000 x miezi  6 njoo miezi inaongeleka
Dalali hela ya mwezi mmoja 1 ukilipia nyumba 
Sebule kumbwa 
Jiko kumbwa zuri  makabati yapo 
Public toilet 
Umeme wako 
Maji yako 
Peving block 
CCV kamela 
Kutoka barabara ya rami dk 1 tu uko kwenye nyumba
Kuoneshwa nyumba 20,000/=
O677370515




















