2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


APARTMENT NZURI YA KISASA NA IPO MTAA MZURI SANA INAPANGISHWA BEI NI 450,000/= X 6
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
🌟 APARTMENT HII INA SIFA ZIFUATAZO
#VYUMBA 2 VIKUBWA SANA VYA KULALA KIMOJAWAPO NI MASTER BEDROOM KUBWA
#SEBULE KUBWA SANA
#JIKO KUBWA SANA LENYE MAKABATI
#PUBLIC TOILET
#LUKU NA MITA YA MAJI DAWASA INAJITEGEMEA
#PARKING KUBWA YA KUTOSHA
#GARDEN NZURI
BEI NI 450,000/= X 6
________________________________________________________
💫💫 APARTMENT HII IPO MBEZI KIBANDA CHA MKAA UPANDE WA KULIA KAMA UNAENDA MBEZI KUTOKA MOROGORO ROAD HADI KWENYE NYUMBA NI KM 1 TUU USAFIRI NI BAJAJI NA UKISHUKA TUU KWENYE BAJAJI UNAPIGA TEKE MLANGO NA NJIA NI RAFIKI KWA AINA ZOTE ZA MAGARI HADI KWENYE
ITAKUWA WAZI KUANZIA TAREHE 15/10/2024 KUONA NDANI RUKSA KABISA ENDAPO MPANGAJI ATAKUWEPO
*KWA MAELEZO ZAIDI PIGA*
========================
*WSP:0620_436331*
*CALL:0758_602157*
========================
*SERVICE CHARGE YA KUONA NYUMBA@15,000/=
________________________________________________________