2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam


#REPOST DALALIMBEZIBEACH_SEMBA
Apartments Inapangishwa
Inapangishwa
IPO mbezi beach Africana
Vyumba viwili Kodi laki 400,000) tsh Kwamwezi
Malipo miezi sita
———————
Date listeed: 10/09/2025
Kubwa YAKIFAMILIA
—————
Inajitegemea umeme na maji
IPO kwenye fence
Paking space ipo
Fully piving block
Security available 24hrs #
——————-
Kwenda kuona nyumba 20k
Savice chaG
Mawasiliano zaidi nipigie dalalimbezibeach_semba
0718 759287
0685 006223
0750 687888
PIA ViWANJA VINAPATIKANA VYA KUNUNUA