2 Bedrooms House/Apartment for Rent at Mbezi, Dar Es Salaam
KIWANJA CHENYE HATI,MAPAGALE MANNE, TSHS.150 MILIONI, MBEZI IJOMA.
IJOMA ni Mtaa ambao upo MAKABE,
MBEZI MWISHO.
Eneo lipo wastani wa mita 800 kutoka Barabara ya MAKABE/MBEZI.
Kiwanja kina ukubwa wa SQM. 2,000.
Umiliki ni HATI (Title Deed) ya Wizara.
Haya MAPAGALE yalikusudiwa kuwa Nyumba za Kupangisha ( Apartments)
Kila moja inajitegemea.
Na ina vyumba 2 ( Vyote Vyoo ndani))
Pia kuna Sebule,Jiko,Dining-room,
Store na Choo cha Familia ndani.
Eneo ni kubwa unaweza kuongeza kadhaa nyingine.
___________
ANGALIZO:
Malipo ya Dalali ni 10%
Kuona ni Tshs.50,000.
(Unalipa wewe MNUNUZI)
Tafadhali Wasiliana nami iwapo tu unaridhia taratibu zangu.
_____________
Ukihitaji kukagua taarifa mapema tafadhali.